Natafuta mke wa kuoa

Mshikaji wangu tukiwa Bank moja Morogoro Branch baada ya kazi alikuwa anachukua zile mandates account open/ loan application form za wateja wa hiyo siku anakagua picha na kuchukua namba za simu.... though hiyo alipata mke mzuri wa chaguo lake.
Nikutakie kila la kheri kwenye hitaji la moyo wako!!
 
Hii nzur kk
 
Nimekosa mume dah!! Me sina mtoto!! Lakini si hata wewe na watoto wako, mtakua watoto wangu jamani?? Mbona una ubaguzi?? [emoji17][emoji17][emoji17]
Haya single mazaz fursa hiyo mkaongeze team [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama huna mtoto usije DM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…