Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Sio tu jf mkuu kutafuta mke wa kuoa mtandaoni hii kitu ni ngumu japokuwa ni kweli kwamba tulioko huku ndio tupo na mitaani lakini mara nyingi huku tunaishi kimaigizo zaidi kuliko uhalisia
Kwa hiyo wanaoigiza maisha hawafai kuolewa ?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Mkuu HSE Officer , hebu jaribu kuwa serious na maisha basi, hivi wewe kweli ni Bank Officer au hiyo Tittle umeitumia kama chambo kuwanasa Dada zetu ???
Maana haya maandishi yako yanaonyesha kabisa hata kubonyeza keyboard za PC hayajazoea.
 
Kwa hiyo unanishaur nn mkuu
Ushauri ni kwamba hta km umeamua kutafutia huku ni sawa ila lazima ujipe muda wa kutosha kumjua unayetaka kumuoa na kumjua sio tu kwenye inshu ya mbususu lazima uwe na muda wa kutosha kumfuatilia na hasa kujua mazingira anayoishi sasa, mazingira aliyokulia na vitu hivi unavifnya ktk hali ya uchunguzi lazima ujue uchunguzi huwezi kufnya peke yako maana dada zetu ni waigizaji wazuri.
Mf. unakuta unavutiwa na binti kutkana na mavazi yake ya heshima unaona bila shaka hta yeye anajihsshimu pia lkn kumbe mwenzio anavaa hayo kila anapotaka kukutana na ww sababu ameshajua udhaifu wko ila akiwa mtaani kwake anaweza kwenda hta na kanga 1 mpaka mtaa wa 2
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mkuu HSE Officer , hebu jaribu kuwa serious na maisha basi, hivi wewe kweli ni Bank Officer au hiyo Tittle umeitumia kama chambo kuwanasa Dada zetu ???
Maana haya maandishi yako yanaonyesha kabisa hata kubonyeza keyboard za PC hayajazoea.
Kwan afisa anaandikaje
 
Ushauri ni kwamba hta km umeamua kutafutia huku ni sawa ila lazima ujipe muda wa kutosha kumjua unayetaka kumuoa na kumjua sio tu kwenye inshu ya mbususu lazima uwe na muda wa kutosha kumfuatilia na hasa kujua mazingira anayoishi sasa, mazingira aliyokulia na vitu hivi unavifnya ktk hali ya uchunguzi lazima ujue uchunguzi huwezi kufnya peke yako maana dada zetu ni waigizaji wazuri.
Mf. unakuta unavutiwa na binti kutkana na mavazi yake ya heshima unaona bila shaka hta yeye anajihsshimu pia lkn kumbe mwenzio anavaa hayo kila anapotaka kukutana na ww sababu ameshajua udhaifu wko ila akiwa mtaani kwake anaweza kwenda hta na kanga 1 mpaka mtaa wa 2
Ushaur huu fuata mwenyew kila mtu na maisha yake
 
Back
Top Bottom