Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuhaha halafu tunahohanaWacha weeee kumbe unihohe eeenhh πππkuhoha
Kwa hiyo unanishaur nn mkuuSio tu jf mkuu kutafuta mke wa kuoa mtandaoni hii kitu ni ngumu japokuwa ni kweli kwamba tulioko huku ndio tupo na mitaani lakini mara nyingi huku tunaishi kimaigizo zaidi kuliko uhalisia
Kwa hiyo wanaoigiza maisha hawafai kuolewa ?Sio tu jf mkuu kutafuta mke wa kuoa mtandaoni hii kitu ni ngumu japokuwa ni kweli kwamba tulioko huku ndio tupo na mitaani lakini mara nyingi huku tunaishi kimaigizo zaidi kuliko uhalisia
Kivip awake mkazo mkuuNaomba tilia mkazo hapo[emoji3][emoji3]
Kwa nn mkuu acha kukariri Maishamuwe mnatofautisha saccos na bank
Bakra sitaki mim chukua wewUnatafuta kitombi mwenzako, wenzako wanatafuta mabikira
Karibu tukuhudumie mkuuAsante tumejua kama wewe ni afisa wa Bank
Pm itajaa sana ila watapigwa na kitu kizito watakuja kusimuliaWanakuja wenye watoto wamekumbukwaππ
ππππPm itajaa sana ila watapigwa na kitu kizito watakuja kusimulia
Ushauri ni kwamba hta km umeamua kutafutia huku ni sawa ila lazima ujipe muda wa kutosha kumjua unayetaka kumuoa na kumjua sio tu kwenye inshu ya mbususu lazima uwe na muda wa kutosha kumfuatilia na hasa kujua mazingira anayoishi sasa, mazingira aliyokulia na vitu hivi unavifnya ktk hali ya uchunguzi lazima ujue uchunguzi huwezi kufnya peke yako maana dada zetu ni waigizaji wazuri.Kwa hiyo unanishaur nn mkuu
Kwan afisa anaandikaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mkuu HSE Officer , hebu jaribu kuwa serious na maisha basi, hivi wewe kweli ni Bank Officer au hiyo Tittle umeitumia kama chambo kuwanasa Dada zetu ???
Maana haya maandishi yako yanaonyesha kabisa hata kubonyeza keyboard za PC hayajazoea.
Mbona hawajiUtapata hadi wakukufungulia biashara na wakuwasomesha watoto wako DP WORLD OYEE!
Ushaur huu fuata mwenyew kila mtu na maisha yakeUshauri ni kwamba hta km umeamua kutafutia huku ni sawa ila lazima ujipe muda wa kutosha kumjua unayetaka kumuoa na kumjua sio tu kwenye inshu ya mbususu lazima uwe na muda wa kutosha kumfuatilia na hasa kujua mazingira anayoishi sasa, mazingira aliyokulia na vitu hivi unavifnya ktk hali ya uchunguzi lazima ujue uchunguzi huwezi kufnya peke yako maana dada zetu ni waigizaji wazuri.
Mf. unakuta unavutiwa na binti kutkana na mavazi yake ya heshima unaona bila shaka hta yeye anajihsshimu pia lkn kumbe mwenzio anavaa hayo kila anapotaka kukutana na ww sababu ameshajua udhaifu wko ila akiwa mtaani kwake anaweza kwenda hta na kanga 1 mpaka mtaa wa 2
Njoo pm[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]