Natafuta mke wa kuoa

Humu utapoteza muda wako bure na mishangazi ambayo iko desperate. Kwa huo umri wako tafuta mtoto mbichi 19 hadi 22 utakuja kunishukuru baadae
 
Lamomy nakukaribisha nimeandaa pilau la nyanya huku πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ..
Yaani hapashikiki nakwambia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja nipitie kinywaji cha kushushia nakuja bro poor πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Mi nilijua Winnone yuko kwako ndo kapika ilo pilau?? Kumbe uko peke yako gheto?? Aisee siji 🀣🀣🀣🀣
Kwanini sasa...
Kama winnone unamfundisha asiniamini ulitegemea nini...

Huna budi kuja kujionea yaliyomo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na juis ya nanasi hapa ipo ina pata baridiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baadaye jioni kama shem hajakaba basi Jo 😊...

Twende dinner pale Msasani Mall rooftop kwa Sarah, nicheck upande wa pili kujibu

Hhahaha shem siku kama ya leo kukaba ni unkwepabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…