Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Humu utapoteza muda wako bure na mishangazi ambayo iko desperate. Kwa huo umri wako tafuta mtoto mbichi 19 hadi 22 utakuja kunishukuru baadae
 
Mi nilijua Winnone yuko kwako ndo kapika ilo pilau?? Kumbe uko peke yako gheto?? Aisee siji 🤣🤣🤣🤣
Kwanini sasa...
Kama winnone unamfundisha asiniamini ulitegemea nini...

Huna budi kuja kujionea yaliyomo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Na juis ya nanasi hapa ipo ina pata baridi😂😂😂
 
Baadaye jioni kama shem hajakaba basi Jo 😊...

Twende dinner pale Msasani Mall rooftop kwa Sarah, nicheck upande wa pili kujibu

Hhahaha shem siku kama ya leo kukaba ni unkwepabo
 
Hhahaha shem siku kama ya leo kukaba ni unkwepabo

Karibu draft la sikukuu toka side hii Jo...

Wewe tu wakosekana side nyingine ya meza 😘😘

Screenshot_20240410_184812_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom