ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mume mwenyewe sijampata kanifurumusha ety nitawahi kuzeekaNa atakukata masikio hayo. Siunamjua asivyopenda ujinga? π π π
Na naenda kumfikishia hizi taarifa kwamba unatafuta mume mtandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mume mwenyewe sijampata kanifurumusha ety nitawahi kuzeekaNa atakukata masikio hayo. Siunamjua asivyopenda ujinga? π π π
Na naenda kumfikishia hizi taarifa kwamba unatafuta mume mtandaoni
Kaka 5:9 mbona kawaida π, mi nime vuka hapo kabisa π€£5.9 feet mzee wewe ni mrefu, yaani wewe ni mrefu sana mkuu. Sitaki hata kusimama na watu warefu.
Hiyo age gape iko poa sana, wasshaanza kuwa desperate ukigusa tu imo.
Naimagine nisehemu gani inayonihusu wewe unaijua mpaka uibukeπ€
Au ile ......of the year?
Mhmh..... Wanaume walio oa , wengi wameishia kuongea pekee yao barabarani π€π€.Hata akiwa na uzito sawa na gazeti....huwa tunawanenepesha kama broila
Shadow7 toto ana Lia ππ€£π€£π€£π€£π€£ sasa mtanisaidaje na jua linatumbukia jmn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama wa mtoto yuko wapi dear, vikao vyote vimesisitiza kuona tuta kwanza.....
Nafikiri hivyo ulivyojibu ni sawa pia
Nakusikiliza wewe tajeeer
Ila upo kwenye process za kumtafuta huku JF, ila kule kitaa jamaa yangu anajua wewe ni mali yake?Mume mwenyewe sijampata kanifurumusha ety nitawahi kuzeeka
πJust relax love...
Lemme take care of the rest...deal?
Hapana bhana! Mimi ni wake na weekend naenda kula kukuIla upo kwenye process za kumtafuta huku JF, ila kule kitaa jamaa yangu anajua wewe ni mali yake?
Anawekwa pembeni kama single Maza, wa kupashia kiporo.!!Mama wa mtoto yuko wapi? Au na yeye atakuja na mada ya kutaka mume!
Mimi nafikisha taarifa kama zilivyo, tena na screenshot natumia. Maana asije akaishia kuvuna mabuaHapana bhana! Mimi ni wake na weekend naenda kula kuku
Ukinichonganisha na mpenzi wangu utanioa wewe nakwambia!Mimi nafikisha taarifa kama zilivyo, tena na screenshot natumia. Maana asije akaishia kuvuna mabua
5.9 feet sio 5' 9"(5 feet 9 inches). Bado sio mfupi.Kaka 5:9 mbona kawaida π, mi nime vuka hapo kabisa π€£
Kuna mmoja alikuwa anatoa ushuhuda kwenye uzi mmoja hivi nilicheka πππNgoja ije ID ya kiume huko pm
Itakuwa alikutana na wizo ππππKuna mmoja alisema anatafuta mume....
Kwenda pm kumbe ni njemba et ππππππππ
Kama ni hivyo, acha niwachonganishe. Maana mara baba Cathe, mara huku unatafuta mume.Ukinichonganisha na mpenzi wangu utanioa wewe nakwambia!
Unautaka?Kama ni hivyo, acha niwachonganishe. Maana mara baba Cathe, mara huku unatafuta mume.
Lazima nifikishe taarifa
Nautaka u nini?Unautaka?