Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Na atakukata masikio hayo. Siunamjua asivyopenda ujinga? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Na naenda kumfikishia hizi taarifa kwamba unatafuta mume mtandaoni
Mume mwenyewe sijampata kanifurumusha ety nitawahi kuzeeka
 
5.9 feet mzee wewe ni mrefu, yaani wewe ni mrefu sana mkuu. Sitaki hata kusimama na watu warefu.

Hiyo age gape iko poa sana, wasshaanza kuwa desperate ukigusa tu imo.
Kaka 5:9 mbona kawaida πŸ˜„, mi nime vuka hapo kabisa 🀣
 
Nafikiri hivyo ulivyojibu ni sawa pia

Nakusikiliza wewe tajeeer

Baadaye jioni kama shem hajakaba basi Jo 😊...

Twende dinner pale Msasani Mall rooftop kwa Sarah, nicheck upande wa pili kujibu
 
Mama wa mtoto yuko wapi? Au na yeye atakuja na mada ya kutaka mume!
Anawekwa pembeni kama single Maza, wa kupashia kiporo.!!
Hii Dunia haipo fair kabisa.
Wadada mnawazalisha TU, halafu mnatafuta wake wengine kuoa.
Huyu mliemzalisha, kila siku kumponda, kuhamasisha watu wasioe wanawake waliozaa, kuwaita single mothers, kumbe ajenda yenu ni kulinda koloni la kupashia!!!!!!!!!!!.
 
Ngoja ije ID ya kiume huko pm
Kuna mmoja alikuwa anatoa ushuhuda kwenye uzi mmoja hivi nilicheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eti jamaa alikuwa na id ya kike kuna mwamba akajitosa pm akamwambia amtumie pesa akamtumia elfu 70, alivyoomba waonane akamjibu ukome mie mwanaume mwenzio siku nyingine usirudie πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Back
Top Bottom