Natafuta mke wa maisha umri miaka 25-28

Natafuta mke wa maisha umri miaka 25-28

gize

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
202
Reaction score
134
Heshima kwenu wana Jukwaa

Natumaini kwa uwezo wake Mungu wote hatujambo. Kama kuna mgonjwa basi Namuomba Mungu amponye ili tuendeleze ujenzi wa taifa letu.

Nami leo Najitokeza katika jukwaa hili kutafuta Mke wa maisha yangu (Nipo serious katika hili),

A; Sifa zangu

Umri: Miaka 30
Kazi: Ninafanya kazi na ninakipato cha kunitosheleza kabisa kumudu mahitaji muhimu
Elimu: Nina degree moja
Urefu: Ni mrefu kiasi (Setimita 180) na Mwembamba kiasi
Rangi: Ni mweusi kiasi
Dini; Mkristu
Watoto; Sina mtoto
Matumizi ya vileo: Situmii Pombe ya aina yoyote wala kuvuta sigara etc

B; Sifa za Mke ninayemtafuta
Umri: Miaka 25-28
Dini; Mkristu
Elimu: Kuanzia Diploma na kuendelea
Munekano: MWEMBAMBA na MREFU angalau kuanzia Sentimita 170 na kuendelea (Ni moja wapo ya kigezo muhimu sana kwangu), pia ukiwa na mvuto nitashukuru zaidi
Kabila: awe kati ya - Mnyambo, Mkerewe,Mbondei, Mmeru, Mmburu, Mnyaturu, Mdigo au Mnyamwezi.
Kuzaa: Awe ambaye hajawahi kuzaa
Kilevi: Asiwe anakunywa pombe ya aina yoyote wala kuvuta Sigara etc
Rangi: Awe mweusi kiasi/ maji ya kunde
Kazi: Kama unayo kazi tayari nitashukuru zaidi lakini hata kama hauna hakuna shida
TABIA: AWE NA TABIA NJEMA NA ALIYETAYARI KUPIMA VIRUS VYA UKIMWI, NA AMBAYE ANAPENDA KUFUNGA NDOA MWAKA 2014-2015.

Tafadhali kwa MELEZO MENGINE YA NDANI ZAIDI NA KUFAHAMIANA KWA wale TU wanaokidhi vigezo tajwa hapo juu tafadhali NITUMIE PM yako au tuwasiliane kwa E-mail; gizewise@yahoo.com, BILA SHAKA YOYOTE PM na E-mail zote zitajibiwa bila shida na kwa haraka.

Tafadhali kama hauna vigezo tajwa usijisumbuke kuni PM wala kunitumia e-mail.
Asanteni; Natumaini nimeeleweka.
 
Hahaaa kuna demu mjini hapa hajawahi kutoa mimba
 
Akiwa ametoa mimba je?
TEHH MKUU.. KWELI NI SWALI GUMU.. MAANA KUPROVE KUWA AMETOA MIMBA NI KAZI LABDA NIPATE VIELEZO VYA KUTOSHA.. OTHERWISE NITAASHUMU KUWA YUKO OKAY.. THANX KWA CHANGAMOTO.. MAAANA NI KWELI YAPO..

DUNIA INA MAMBO TANGU KITAMBO.

PAMOJA KakaJambazi
 
Kila la heri Mkuu katika kufanikisha adhma yako.
 
Hahaaa kuna demu mjini hapa hajawahi kutoa mimba

HAHAAA.. HILO NALO NENO.. NIMEMWAMBIA KakaJambazi kuwa ni ngumu sana kuproove hiyo maneno..Ni kuomba Mungu kupata ambaye kizazi hakijakwanguliwa na Makoleo..

THANKS MKUU.. PAMOJA.
 
kila la heri mkuu katika kufanikisha adhma yako.

mkuu bak, asante sana... Kila lakheri pia kwako katika majukumu ya ujenzi wa taifa letu..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama una nia ya dhati Mungu atakusaidia, umeeka maelezo mazuri ingawa hili jukwaa kuna watu hawapo serious kiasi cha kunifanya kutoamini kama unaweza pata mchumba wa maisha, utaligundua hili ukisoma comment za watu kwenye post za namna hiyo, matokeo hajulikani anayetafuta kweli, mzinzi na anayetania.

Kila la heri Mkuu
 
Wanyambo wanatokea mkoa gani?.. Anyway kila la kheri.. Mi nna vigezo vyote isipokuwa kabila na urefu wangu ni 167
 
Kamawewe
NASHUKURU kwa hilo angalizo, nafahamu kuna waatu wao kila jambo ni masihala tu.. lakini hatuwezi kuacha kusafiri kwa uzembe wa dereva mmoja..
Nashukuru sana kwa mchango wako.. Naamini wapo wenye mahitaji kama mimi na walio makini. Asante
 
Wanyambo wanatokea mkoa gani?.. Anyway kila la kheri.. Mi nna vigezo vyote isipokuwa kabila na urefu wangu ni 167

Shukrani kwa concern yako.. Pole.

Wanyambo wanatokea Kagera.
 
Heshima kwenu wana Jukwaa

Natumaini kwa uwezo wake Mungu wote hatujambo. Kama kuna mgonjwa basi Namuomba Mungu amponye ili tuendeleze ujenzi wa taifa letu.

Nami leo Najitokeza katika jukwaa hili kutafuta Mke wa maisha yangu (Nipo serious katika hili),

A; Sifa zangu

Umri: Miaka 30
Kazi: Ninafanya kazi na ninakipato cha kunitosheleza kabisa kumudu mahitaji muhimu
Elimu: Nina degree moja
Urefu: Ni mrefu kiasi (Setimita 180) na Mwembamba kiasi
Rangi: Ni mweusi kiasi
Dini; Mkristu
Watoto; Sina mtoto
Matumizi ya vileo: Situmii Pombe ya aina yoyote wala kuvuta sigara etc

B; Sifa za Mke ninayemtafuta
Umri: Miaka 25-28
Dini; Mkristu
Elimu: Kuanzia Diploma na kuendelea
Munekano: MWEMBAMBA na MREFU angalau kuanzia Sentimita 170 na kuendelea (Ni moja wapo ya kigezo muhimu sana kwangu), pia ukiwa na mvuto nitashukuru zaidi
Kabila: awe kati ya - Mnyambo, Mkerewe,Mbondei, Mmeru, Mmburu, Mnyaturu, Mdigo au Mnyamwezi.
Kuzaa: Awe ambaye hajawahi kuzaa
Kilevi: Asiwe anakunywa pombe ya aina yoyote wala kuvuta Sigara etc
Rangi: Awe mweusi kiasi/ maji ya kunde
Kazi: Kama unayo kazi tayari nitashukuru zaidi lakini hata kama hauna hakuna shida
TABIA: AWE NA TABIA NJEMA NA ALIYETAYARI KUPIMA VIRUS VYA UKIMWI, NA AMBAYE ANAPENDA KUFUNGA NDOA MWAKA 2014-2015.

Tafadhali kwa MELEZO MENGINE YA NDANI ZAIDI NA KUFAHAMIANA KWA wale TU wanaokidhi vigezo tajwa hapo juu tafadhali NITUMIE PM yako au tuwasiliane kwa E-mail; gizewise@yahoo.com, BILA SHAKA YOYOTE PM na E-mail zote zitajibiwa bila shida na kwa haraka.

Tafadhali kama hauna vigezo tajwa usijisumbuke kuni PM wala kunitumia e-mail.
Asanteni; Natumaini nimeeleweka.

Mmmmh Unatafuta MKE kweli wewe? masharti kibao, isije kuwa unatafuta KAFARA umetumwa na mganga wako.
 
Natafuta mke.

Yamtokayo mtu kinywani mwake ndiyo yaliyomjaa moyoni mwake..

Hekima haiuzwi dukani
.
 
Kwa mtazamo wangu ni bora ukawa unacmamisha unatongoza wenye hzo cfa maeneo unayoishi au unayotembelea, kwa sabab unapata pia na nafasi yakuchunguza mambo yake mengine, kabla yakujicommite kumwoa au la. Ni vizuri kutangaza ni maana utapata wengi wanaosaka nafasi na fulsa kama hzi.,.. Ila kumbuka
KWENYE MSAFARA WA MAMBA...... NAKUOMBEA HERI
 
Back
Top Bottom