Mungu akujaalieHabari Wakuu!!!
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
- Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika)
- Umri 20-40
- Ajue mapishi
- Ajue kujiremba na ni msafi.
- Usiwe na tumbo kubwa.
- Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili)
- Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali
- Kama sio mfanyakazi au mjasiliamali basi usiwe single mother
Wasifu wangu
Walio serious tu, Nifate Inbox.
- Ni Muislam
- Umri miaka 30+
- Mwajiriwa na mfanya biashara
- Kipato changu cha wastani ila kinatosheleza kwa family ya watu 6.
Inshaallah nitauweza. Uwezo ninao kiasi wa kuhudumia wawili kifedha na kimwili.Maasha'Allah
Ila Kaka uadilifu utauwezaa?
Wanawake tukishajua tupo zaidi ya mmoja basi lazima tukupe changamoto za kutosha🤣🤣🤣
Allah akujaalie aliye bora Insha'AllahInshaallah nitauweza. Uwezo ninao kiasi wa kuhudumia wawili kifedha na kimwili.
Changamoto pia ntajua namna na kuzi handle hakuna shida.
Kaka inahitaji tuzoze chemba. LolHabari Wakuu!!!
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
- Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika)
- Umri 20-40
- Ajue mapishi
- Ajue kujiremba na ni msafi.
- Usiwe na tumbo kubwa.
- Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili)
- Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali
- Kama sio mfanyakazi au mjasiliamali basi usiwe single mother
Wasifu wangu
Walio serious tu, Nifate Inbox.
- Ni Muislam
- Umri miaka 30+
- Mwajiriwa na mfanya biashara
- Kipato changu cha wastani ila kinatosheleza kwa family ya watu 6.
HIlo nalo neno.Maasha'Allah
Ila Kaka uadilifu utauwezaa?
Wanawake tukishajua tupo zaidi ya mmoja basi lazima tukupe changamoto za kutosha🤣🤣🤣
Tuna kusudi sana🤣🤣🤣HIlo nalo neno.
Kila raheli katka kutimiza jambo lako chief 🖐️Habari Wakuu!!!