Kwann wasipstikane mkuu humu kuna watu ni waumini wazuri na wamenyooka na wengine wako njiani kuelekea huko lazima ieleweke hili ni jukwaa tu linalotukutanisha tukitokea huku mtaani na mitaani ndio Kuna nyumb za Ibada na nyumba za shetani za kila namna so tulioko huku ndio tuko mtaani piaHumu kweli utampata mwanamke mwenye sifa ulizoorodhesha?
Nadhani muhimu ni tabia kama umetaka mwenye maadili ya dini na wewe lazima utakuwa hivyo hivyo wazo langu ungeanzia kutafuta huko kwenye nyumba yako ya ibada humu utakutana na waigizaji tu siku mbili tatu anajionyesha alivyo mnaanza tena kusumbuana akili.
Nani kakuambia hayo.mwanamke wa kwanza ndiyo mke, hawa wa pili, wa tatu na kuendelea ni Tamaa
True kabisaKwann wasipstikane mkuu humu kuna watu ni waumini wazuri na wamenyooka na wengine wako njiani kuelekea huko lazima ieleweke hili ni jukwaa tu linalotukutanisha tukitokea huku mtaani na mitaani ndio Kuna nyumb za Ibada na nyumba za shetani za kila namna so tulioko huku ndio tuko mtaani pia