The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Badala ya kuwaza mambo ya maana, unawaza chini. Mlidanganywa lakini hamjitambuiHabari Wakuu!!!
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
- Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika)
- Umri 20-40
- Ajue mapishi
- Ajue kujiremba na ni msafi.
- Usiwe na tumbo kubwa.
- Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili)
- Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali
- Kama sio mfanyakazi au mjasiliamali basi usiwe single mother
Wasifu wangu
Walio serious tu, Nifate Inbox.
- Ni Muislam
- Umri miaka 30+
- Mwajiriwa na mfanya biashara
- Kipato changu cha wastani ila kinatosheleza kwa family ya watu 6.
