The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Badala ya kuwaza mambo ya maana, unawaza chini. Mlidanganywa lakini hamjitambuiHabari Wakuu!!!
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
- Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika)
- Umri 20-40
- Ajue mapishi
- Ajue kujiremba na ni msafi.
- Usiwe na tumbo kubwa.
- Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili)
- Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali
- Kama sio mfanyakazi au mjasiliamali basi usiwe single mother
Wasifu wangu
Walio serious tu, Nifate Inbox.
- Ni Muislam
- Umri miaka 30+
- Mwajiriwa na mfanya biashara
- Kipato changu cha wastani ila kinatosheleza kwa family ya watu 6.
One love bloodShukran Chief
Mitala ni umalaya wa kawaida mwanangu. Utaoa na kuzaa kama panya halafu mnaanza kulalamika serikali haiwasaidii. Wengi wa walio na wake wengi, wanazaa wajinga wengiNipo nafanya mambo ya maana, na kuoa pia ni jambo la maana.
Watu washachanganyikiwa waache tu saivi wanavumia ukuUnasaka mke wa 2# kwenye social media , OvYoooo kbsa then wew ni kjn wa miaka 30's
Unaweza kupata kwenye nyumba ya ibada na asiwe na tabia njema, mwenza sahihi anapatikana popote tu mkuu muhimu kumuomba Mungu akupe aliye mwema.Humu kweli utampata mwanamke mwenye sifa ulizoorodhesha?
Nadhani muhimu ni tabia kama umetaka mwenye maadili ya dini na wewe lazima utakuwa hivyo hivyo wazo langu ungeanzia kutafuta huko kwenye nyumba yako ya ibada humu utakutana na waigizaji tu siku mbili tatu anajionyesha alivyo mnaanza tena kusumbuana akili.
Hayo ni mawazo yako, dini yangu inaniruhusu na ni jambo la kheri.Mitala ni umalaya wa kawaida mwanangu. Utaoa na kuzaa kama panya halafu mnaanza kulalamika serikali haiwasaidii. Wengi wa walio na wake wengi, wanazaa wajinga wengi
Asante kwa ushauri, nitaufanyia kazi.Humu kweli utampata mwanamke mwenye sifa ulizoorodhesha?
Nadhani muhimu ni tabia kama umetaka mwenye maadili ya dini na wewe lazima utakuwa hivyo hivyo wazo langu ungeanzia kutafuta huko kwenye nyumba yako ya ibada humu utakutana na waigizaji tu siku mbili tatu anajionyesha alivyo mnaanza tena kusumbuana akili.
Acha kabisa.Tuna kusudi sana🤣🤣🤣
Habari Wakuu!!!
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
- Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika)
- Umri 20-40
- Ajue mapishi
- Ajue kujiremba na ni msafi.
- Usiwe na tumbo kubwa.
- Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili)
- Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali
- Kama sio mfanyakazi au mjasiliamali basi usiwe single mother
Wasifu wangu
Walio serious tu, Nifate Inbo
- Ni Muislam
- Umri miaka 30+
- Mwajiriwa na mfanya biashara
- Kipato changu cha wastani ila kinatosheleza kwa family ya watu 6.
Habari Wakuu!!!
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
- Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika)
- Umri 20-40
- Ajue mapishi
- Ajue kujiremba na ni msafi.
- Usiwe na tumbo kubwa.
- Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili)
- Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali
- Kama sio mfanyakazi au mjasiliamali basi usiwe single mother
Wasifu wangu
Walio serious tu, Nifate Inboxn
- Ni Muislam
- Umri miaka 30+
- Mwajiriwa na mfanya biashara
- Kipato changu cha wastani ila kinatosheleza kwa family ya watu 6.
Npo serious hapaHabari Wakuu!!!