Natafuta mke wa Pili Umri kuanzia 20-40 (Binti wa Kiislam)

Kwann wasipstikane mkuu humu kuna watu ni waumini wazuri na wamenyooka na wengine wako njiani kuelekea huko lazima ieleweke hili ni jukwaa tu linalotukutanisha tukitokea huku mtaani na mitaani ndio Kuna nyumb za Ibada na nyumba za shetani za kila namna so tulioko huku ndio tuko mtaani pia
 
mwanamke wa kwanza ndiyo mke, hawa wa pili, wa tatu na kuendelea ni Tamaa
 
True kabisa
 
Changamoto humu utapata WAIGIZAJI,MATAPELI,WAJUAJI,GOLD DIGGER n.k
Ukweli unaujua humu huezi pata make yani ni 1%
 
Changamoto humu utapata WAIGIZAJI,MATAPELI,WAJUAJI,GOLD DIGGER n.k
Ukweli unaujua humu huezi pata make yani ni 1%
Kuna watu wameoa kutoka Mabinti wa Humu. Mfano ni yule jamaa mtunzi wa stori Habibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…