Natafuta mke

Natafuta mke

Wanapatana tu huko kimya kimya wakati tumewasaidia. Sio ustaarabu kabisa🤣🤣🤣
bad thing, na kuachana wanaachana kimya kimya, wangetupa taarifa tuje na matarumbeta kabisa..!😂😂
 
Wengine wanaacha miaka ipite miingi ndio waje watupe mrejesho. Wakati huo hata tushasahau matukio. Wawe wastaarabu mambo yawe updated kila hatua🤣
 
Hello there, I'm a 41-year-old man working in the education sector with a Master's degree and currently pursuing a PhD. I have an amazing 11-year-old son. I'm searching for a life partner aged 30-41, preferably with 0-2 kids and a stable income. Let's embark on this beautiful journey together.

Andika tu kiswahili mkuu, watakuelewa...
 
Wengine wanaacha miaka ipite miingi ndio waje watupe mrejesho. Wakati huo hata tushasahau matukio. Wawe wastaarabu mambo yawe updated kila hatua🤣
😂😂
Sindiyoooo..!!
Hata ile wamekutana picha hazifanani na ukhalisia watushirikishe, nauli zimeliwa watuambie, waliambiwa urefu wa 6" wamekuta mtu mfupi kama ndoo wasitufiche..!😂
 
Lazima watupe taarifa, mambo ya kukaa kimya ni kumkaribisha shetani tu. Wawe kama yule mama alikuta mtu sura haitoshi kwa camera🤣🤣
 
😂😂😂😂
Ila humu duniani kuna mambo mengi mno jamani tchaaah'..!🙌
 
Back
Top Bottom