Natafuta mke

Natafuta mke

😂😂😂😂 Halafu humu wanaume ndo mnatutisha tunaringa kuolewa tutateseka uzeeni, kiko wapi kumbe mpk uzeeni kuolewa kupo 🤸‍♀️🤸‍♀️
 
🤣🤣🤣Kwani gigy money si ndio anaimbaga Nampa papa na ugali wa dona🤣🤣🤣papa nahisi atakuwa samaki
😂😂😂😂 kula chuma hiko

Akitaka na ugali wa dona namsongea
Atake nini tena namtendea
Tiba yaki daktari napona
Naacha magongo natembea
Atake nini tena
Sijawaga na mapene
Napenda safari
Zile rhumba masebene
Motema na ngai
Natamani aseme anachotaka nimpatie
Natamani ailoeshe navyokata nimpatie
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara Kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Shida inakuja wakiniona nae wananuna eeh
Kwenye stori zetu nimtajaga ee wanauchuna ee
Hata kwenye simu yangu ukipijaga we wanaguna ee
Wamekusema ni uvumilivu wala huruma ee
Hawajui nimenasa mie
Namba tasa mie
Ye funguo na kitasa mie
Natamani aseme anachotaka nimpatie
Natamani ailoeshe navyokata nimpatie
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara, kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa nampa papa
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara, kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa papa
Nampa papa
 
Nipo dar na nahitaji mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano ambaye atakuwa mke wangu. Muhimu awe mkweli na muamunifu na umri wake usiZidi miaka 54 Mimi umri wangu ni miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana
Ujana ulikula na nani unakuja kutafuta mke ukiwa umebakiza miaka miwili uvute?
 
Mie kanivutia huyu nimehisi kama mstaafu vile😁😁😁😁
Kweli ni mstaafu lakini kikokoto hakikuwa rafiki kwake, mafao yote keshayamaliza. Ukimkubalia ujue kila siku ni mwendo wa dona kwa kauzu
 
Shoo we humuwezi kwani?
Mtu akufie shida nini 60 eti kero mara ufumaniwe na kijana mara kuzaa naye shida anywe viagra ndio apige kimoja azimie . Mara amshwe babu dawa zako. Mmh !
Mie siwezi hiyo kitu.

Labda awe anakitu fulani je hi mitoto yake na majina yao. Umefuata ninj kwa baba umekosa warika lako?
 
Mtu akufie shida nini 60 eti kero mara ufumaniwe na kijana mara kuzaa naye shida anywe viagra ndio apige kimoja azimie . Mara amshwe babu dawa zako. Mmh !
Mie siwezi hiyo kitu.

Labda awe anakitu fulani je hi mitoto yake na majina yao. Umefuata ninj kwa baba umekosa warika lako?
🤣🤣🤣🤣Aiseee Da mau nimekushindwa!Hata vijana wanakufa bwana na wanapaka mkongo usiwaamini sana vijana hao ni pasua kichwa,chagua Mzee ukale maisha Binti....Hawa wa umri huu watoto wao wanafanya kazi we ukifika ni safari tu za Tarangire na magoroto Lamomy njoo mshauri shoga yako
 
Kweli ni mstaafu lakini kikokoto hakikuwa rafiki kwake, mafao yote keshayamaliza. Ukimkubalia ujue kila siku ni mwendo wa dona kwa kauzu
👀👀 Mmmh mbona tunatishana Tena?yaani biriani alikula na nani mi ndio nile kauzu kweli?Kweli the world is unfair 😁
 
😂😂😂😂 kula chuma hiko

Akitaka na ugali wa dona namsongea
Atake nini tena namtendea
Tiba yaki daktari napona
Naacha magongo natembea
Atake nini tena
Sijawaga na mapene
Napenda safari
Zile rhumba masebene
Motema na ngai
Natamani aseme anachotaka nimpatie
Natamani ailoeshe navyokata nimpatie
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara Kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Shida inakuja wakiniona nae wananuna eeh
Kwenye stori zetu nimtajaga ee wanauchuna ee
Hata kwenye simu yangu ukipijaga we wanaguna ee
Wamekusema ni uvumilivu wala huruma ee
Hawajui nimenasa mie
Namba tasa mie
Ye funguo na kitasa mie
Natamani aseme anachotaka nimpatie
Natamani ailoeshe navyokata nimpatie
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara, kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa nampa papa
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara, kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa papa
Nampa papa
Yaani umeukariri🤔🤔🤔?hata hivyo Gigy Hana akili ya kuandika huu ujinga lazima aliandikiwa..
 
Back
Top Bottom