🤣🤣🤣Kwani gigy money si ndio anaimbaga Nampa papa na ugali wa dona🤣🤣🤣papa nahisi atakuwa samaki
😂😂😂😂 kula chuma hiko
Akitaka na ugali wa dona namsongea
Atake nini tena namtendea
Tiba yaki daktari napona
Naacha magongo natembea
Atake nini tena
Sijawaga na mapene
Napenda safari
Zile rhumba masebene
Motema na ngai
Natamani aseme anachotaka nimpatie
Natamani ailoeshe navyokata nimpatie
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara Kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Shida inakuja wakiniona nae wananuna eeh
Kwenye stori zetu nimtajaga ee wanauchuna ee
Hata kwenye simu yangu ukipijaga we wanaguna ee
Wamekusema ni uvumilivu wala huruma ee
Hawajui nimenasa mie
Namba tasa mie
Ye funguo na kitasa mie
Natamani aseme anachotaka nimpatie
Natamani ailoeshe navyokata nimpatie
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara, kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa nampa papa
Na si anapendaga sana samaki we mpatie
Nampa papa
Sangara, kibua haitoshi we mpatie
Nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa nampa nampa, nampa papa
Nampa papa
Nampa papa