Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣 Ujue wewe una ufala mwingi, mimi nilishasema nitajioa mwenyewe sijaona mwanaume wa kunimudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Ujue wewe una ufala mwingi, mimi nilishasema nitajioa mwenyewe sijaona mwanaume wa kunimudu
😂Me sio mkuu aisee..ila una hatarNimefanyaje mkuu
Ngōja nikuandalie uzi wa kukutongozaNimefanyaje mkuu
Mkuu utawaweza wasimbe wa humu, wengi wameolewa na kuachikaHabari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa😊
Tulia uolewe wewe, acha kukimbia kimbia. Mume ameshapatikana 😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣 Ujue wewe una ufala mwingi, mimi nilishasema nitajioa mwenyewe sijaona mwanaume wa kunimudu
Kapatika na uku mlande naye anakiu kwerkwerHabari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa😊
😂😂😂😂 Mimi mume wangu naweka special order kwa Mungu. Hawa ready made siwatakiTulia uolewe wewe, acha kukimbia kimbia. Mume ameshapatikana 😅😅😅😅
Naona una mbs za kuchezeaNgōja nikuandalie uzi wa kukutongoza
Uzuri wa wadada wa JF wote tuna masters tunafautiana tu,nadhani ndio sie sie tuko Twitter 😅Atakumbana na ujuaji pro max, wadada wa jf ni wajuaji.
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Ucjali utaelewa taratibu mremboNaona una mbs za kuchezea
Bora uache sababu utavunjika tu moyo
Kila la kheri mkuuNiko na kiu haswa sio utani