Natafuta mke

Natafuta mke

Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa😊
Mkuu utawaweza wasimbe wa humu, wengi wameolewa na kuachika
 
🤣🤣🤣🤣 Ujue wewe una ufala mwingi, mimi nilishasema nitajioa mwenyewe sijaona mwanaume wa kunimudu
Tulia uolewe wewe, acha kukimbia kimbia. Mume ameshapatikana 😅😅😅😅
 
Mkuu Peribus kuanzia sasa nakutambua kama shemeji yangu. Nakukabidhi ndugu yangu Lamomy , enendeni mkazeeke pamoja, mkifanana kwa sura na tabia

Joannah na Missy Gf njoo mumjue mela wenu kwa lamomy
 
Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa😊
Kapatika na uku mlande naye anakiu kwerkwer
 
Tulia uolewe wewe, acha kukimbia kimbia. Mume ameshapatikana 😅😅😅😅
😂😂😂😂 Mimi mume wangu naweka special order kwa Mungu. Hawa ready made siwataki
 
Back
Top Bottom