Mh! Nyie ndio mnaofanya JF ionekane ina watu wenye roho nyeusi sana. Kwani uki comment positively kuna shida? Kama wewe huwezi kumuoa wapo ambao watamuoa. Tujifunze positivity sometimes. Vinywa vyetu viwe malango ya baraka, sio laana na masimangoMbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kwahiyo huna sifa zote Mkuu.Duu MIE Nina sifa zote ila sijatokea nyanda za juu kusini
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa
endelea kua selectiveAwe anatokea nyanda za juu kusini
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti kujaza ujinga wadogo zakeMbona Jua limezama na Giza tayari limetanda