Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

Status
Not open for further replies.

JASX

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
170
Reaction score
130
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote
 
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa
 
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Mh! Nyie ndio mnaofanya JF ionekane ina watu wenye roho nyeusi sana. Kwani uki comment positively kuna shida? Kama wewe huwezi kumuoa wapo ambao watamuoa. Tujifunze positivity sometimes. Vinywa vyetu viwe malango ya baraka, sio laana na masimango
 
Anavyojibu naye sijui hana Dada ama hatozaa mdada. Ila kiukweli wenzetu kimahusiano wana wakati mgumu sana mana hatolazimishwa kuolewa ni kuomba tu Mungu. Na modern life ya western life adoption mana maisha ni kama ulaya saivi divorce ni za kufikia binti ana Hela kukuzidi ama mnalingana ukimuudhi kidogo tu anakuacha anaishi kwake.
 
Amekukosea nini mpaka kumtukana hivyo? Mnafahamiana tangu zamani, nini?
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa
 
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa

Hutaki baba mtoto aje aandike jinsi alivyo mla kimasihara bby mama 🤣🤣🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom