Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Alisema mwende PM na sio kuanika namba au email zenu. Mnashindwa kuzingatia jambo dogo kama hilo!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfunge ndoa au muoane tu? Saivi ndoa ngumu, wanawake mnabadilika kama vinyonga, inabidi kufunga ndoa mkifikisha 50yrsNi mwanamke mwenye umri wa miaka 30
Kazi yangu mwl...natafuta mwanaume aliye tayari tufunge ndoa kuanzia 30yrs hadi 45
Awe muislamu na mapenzi ya dhati!
Aliye tayari aje Pm
Ahsante!
Si unikubalie tu huku mtaani kuliko kuja hapa.Mmh sijui na mimi nitafute kwa staili hii...
Kwel mjomba umezamiria ndoa ulete mlejesho [emoji1]Nipe nafasi din nitabadili 0719422468
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh sijui na mimi nitafute kwa staili hii...
Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30
Kazi yangu mwl...natafuta mwanaume aliye tayari tufunge ndoa kuanzia 30yrs hadi 45
Awe muislamu na mapenzi ya dhati!
Aliye tayari aje Pm
Ahsante!
Hahaha namba bandiaKwel mjomba umezamiria ndoa ulete mlejesho [emoji1]
Kwaiyo ilikua danganya totoHahaha namba bandia
unaweza kuni PMNi mwanamke mwenye umri wa miaka 30
Kazi yangu mwl...natafuta mwanaume aliye tayari tufunge ndoa kuanzia 30yrs hadi 45
Awe muislamu na mapenzi ya dhati!
Aliye tayari aje Pm
Ahsante!