Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Status
Not open for further replies.

lesleswng

Member
Joined
May 3, 2023
Posts
79
Reaction score
272
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa;
~ Mimi ni mwanamke age 31
~ Muislim
~ Naishi Dar
~ Nina mtoto mmoja
~ Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
~ Nina mtoto mmoja tu
~ Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
* Kuolewa mke wa pili nipo tayari

Sifa za mwanaume;
~ Age 33-45
~ Awe anajishughulisha
~ Awe serious

Mengine tutazungumza.
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayar kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislim
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayar


Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Mambo ndio haya sasa.. mke wa pili.. 🤗🤗🤗
 
Hapo kwenye nina mtoto mmoja umesisitizia mara mbili. Ukipata mwanaume ambaye hapendi kiumbe cha Mungu achana nae hakufai kabisa. .

Natamani niwe na wake hata wanne. Ingekuwa vyema kanisa likahalalisha ndoa zaidi ya mke mmoja😀
 
mambo ndio haya sasa.. mke wa pili.. 🤗🤗🤗
Mke wangu alijifunga mtoto wa kiume mwezi March 29th. Akaumwa sana nashukuru kweli kwa sasa yeye na mtoto wanaendelea vizuri. Nimesikitika sana kusikia mapacha wako wamefariki. Familia itakuwa katika majonzi makubwa sana nakumbuka nilivyopoteza mwanangu wa kwanza aisee ilichukua muda. Mungu akufanyie wepesi sana..
 
mke wangu alijifunga mtoto wa kiume mwezi March 29th. Akaumwa sana nashukuru kweli. Ninesikitika sana kusikia mapacha wako wamefariki. Familia itakuw katika majonzi makubwa sana nakumbuka nilivyopoteza mwanangu wa kwanza aisee ilichukua mda. Mungu akufanyie wepesi sana. .
Amen. Ni mtihani sana hasa kwa mwanamke inawatesa sana. Mie nilikuwa naishi na mke wa kaka yangu pia matulio yalifata ndani ya siku mbili watoto watatu walipotea. Yote ni maisha tiba huwa ni kupokea na kukubalia limetokea na hatuwezi kubadilisha kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom