Nina mtoto mmoja
Mimi ndio naonekana sihitaji mke?
Sioni kweli
Chukua goma iloaisee
pole sana dear
subiri waje
Mambo ndio haya sasa.. mke wa pili.. 🤗🤗🤗Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayar kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislim
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayar
Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Hapa wapoleeChukua goma ilo
Mke wangu alijifunga mtoto wa kiume mwezi March 29th. Akaumwa sana nashukuru kweli kwa sasa yeye na mtoto wanaendelea vizuri. Nimesikitika sana kusikia mapacha wako wamefariki. Familia itakuwa katika majonzi makubwa sana nakumbuka nilivyopoteza mwanangu wa kwanza aisee ilichukua muda. Mungu akufanyie wepesi sana..mambo ndio haya sasa.. mke wa pili.. 🤗🤗🤗
wacha nijipatie mke bro....Wa kwanza wewe wa pili dronedrake
Amen. Ni mtihani sana hasa kwa mwanamke inawatesa sana. Mie nilikuwa naishi na mke wa kaka yangu pia matulio yalifata ndani ya siku mbili watoto watatu walipotea. Yote ni maisha tiba huwa ni kupokea na kukubalia limetokea na hatuwezi kubadilisha kitu.mke wangu alijifunga mtoto wa kiume mwezi March 29th. Akaumwa sana nashukuru kweli. Ninesikitika sana kusikia mapacha wako wamefariki. Familia itakuw katika majonzi makubwa sana nakumbuka nilivyopoteza mwanangu wa kwanza aisee ilichukua mda. Mungu akufanyie wepesi sana. .
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huyo wa pili atashambulia na babycare