Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Status
Not open for further replies.
Kuna watu ukiwaambia upo wakati hufika kwa hawa kinadada hutamani bora wapate tu bwana yeyote alimradi awe anapumua wanakataa.

Unadhani huyu alipokuwa bado kigori ungemwambia habari za uke wenza angeacha kukutukana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je, yaliyomo yamo?? Nikimaanisha una tako?? Maana mwanamke bila ya tako ni msela mwenzetu tu.

Ungetupiamo na kapicha maana tunaweza kuja kichwa kichwa inbox kumbe una sura kama Bambo
Kusobha kikolo,

Untile Kyala , amasyo agho mabhibhi
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari


Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Vp huko pm ulishapata ufumbuzi kabla sijaja
 
Singo maza akuoe nani..? Tafuta baba wa mtoto wako mroge akuoe... Sisi wengine hatuoi wanawake ambao tayari washaigia leba...
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari


Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza

Trust Me, hakuna mechi inyoanza 1 bila, moja moja nk
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom