Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Baba wa mtoto yuko wapi? Kama alikufa kuna mwislamu mwenzako naye alipost juzi kutafuta mke wa pili mwislamuNatafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari
Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza