Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
hajasema ila kuna mtoto asiye na baba? lazima atakuwepo tu. .Ila hajasema baba wa mtoto yupo au hayupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hajasema ila kuna mtoto asiye na baba? lazima atakuwepo tu. .Ila hajasema baba wa mtoto yupo au hayupo?
NakuombeaNatafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari
Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
eeh si yupo tayari kuwa mke wa pili 😅Mzeya unataka changamkia fursa
Kuna vigezo nahisi nitakwama hapo.....ila sijakata tamaa, bado naendelea kupitia pitia ili jukwaa, huenda nikabahatika.😅Anaomba umuoe haraka sana
Wataisha mkuuMimi bado nipo nipo Sana mkuu
Naona umeplay kama mshenga 😅Natafuta mke
Mi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani. Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina mtoto, nimejiajiri, nipo Mwanza. Aliye tayari aje tuyajenge.www.jamiiforums.com
lamalu mtafute 👇
@leleswng
lamalu Pitia hapa Mke mwenye sifa uzitakazo..kila la kheri 🙏
Nimeona mahitaji yao yame match🤣👋Naona umeplay kama mshenga 😅
Nakubali aisee. Nahitaji mshenga na Mimi 😅Nimeona mahitaji yao yame match🤣👋
Silimu tu kwani shida ni Nini?Hapo kwenye nina mtoto mmoja umesisitizia mara mbili. Ukipata mwanaume ambaye hapendi kiumbe cha Mungu achana nae hakufai kabisa. .
Natamani niwe na wake hata wanne. Ingekuwa vyema kanisa likahalalisha ndoa zaidi ya mke mmoja[emoji3]
Ukorofi huo🤣🤣🤣👋Nakubali aisee. Nahitaji mshenga na Mimi 😅
wazee vp mnkwama kwny vigezo au mnatak na pic kbs..!!Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari
Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Hvi mkuu yule mtoto ako alieletwa na yule shangazi wa vuguruni kwenu now ana miaka mingapi?Naona umeplay kama mshenga 😅
Plz naomba uwe mshenga wangu 😅😅Ukorofi huo🤣🤣🤣👋
Nikitaja umri, nitadisclose everything. Ila naweza sema Limekuwa kubwa sana sasa hivi, sema linajielewa.😅😅Hvi mkuu yule mtoto ako alieletwa na yule shangazi wa vuguruni kwenu now ana miaka mingapi?
Asisahau na CD ya mazishiKaburi la baba wa mtoto lipo mkoa gani? Nafikri tukutane huko kuweka sawa mustakabali wetu
Nikitaja umri, nitadisclose everything. Ila naweza sema Limekuwa kubwa sana sasa hivi, sema linajielewa.😅😅
Naamini future wife popote alipo atakuwa na amani, maana wataendana nae vizuri 🙈
Analyse Sio kwa kunishupalia uko🤣👋Plz naomba uwe mshenga wangu 😅😅