Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Status
Not open for further replies.
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari


Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Nakuombea
 
Anaomba umuoe haraka sana
Kuna vigezo nahisi nitakwama hapo.....ila sijakata tamaa, bado naendelea kupitia pitia ili jukwaa, huenda nikabahatika.😅

Mambo yakiwa tight, Naweka tangazo langu 🙈🙈🙈
 

lamalu mtafute 👇
@leleswng

lamalu Pitia hapa Mke mwenye sifa uzitakazo..kila la kheri 🙏
Naona umeplay kama mshenga 😅
 
Hapo kwenye nina mtoto mmoja umesisitizia mara mbili. Ukipata mwanaume ambaye hapendi kiumbe cha Mungu achana nae hakufai kabisa. .

Natamani niwe na wake hata wanne. Ingekuwa vyema kanisa likahalalisha ndoa zaidi ya mke mmoja[emoji3]
Silimu tu kwani shida ni Nini?
 
Ulipokuwa age 22-27 ulijiona mjanja enhee [emoji23][emoji23][emoji23]
27-30 ukasema kwan ndoa lazima? Naweza kuwa bila ndoa na maisha yakasonga
30 ukasema acha nitafute mtoto nisijezeekea home
Ukifika 33 kuendelea ndo unagundua ndoa is everthing bila ndoa kwenye jamii unaonekana malaya tu hata marafik zako waliooleea wanaaakauaakwepa wanaogopa utawaibia mume [emoji23][emoji23][emoji23]

Dada kitulize jua kwako lishazama [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari


Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
wazee vp mnkwama kwny vigezo au mnatak na pic kbs..!!
 
Hvi mkuu yule mtoto ako alieletwa na yule shangazi wa vuguruni kwenu now ana miaka mingapi?
Nikitaja umri, nitadisclose everything. Ila naweza sema Limekuwa kubwa sana sasa hivi, sema linajielewa.😅😅

Naamini future wife popote alipo atakuwa na amani, maana wataendana nae vizuri 🙈
 
Ishi sana mkuu, tuendelee kuburudika
Nikitaja umri, nitadisclose everything. Ila naweza sema Limekuwa kubwa sana sasa hivi, sema linajielewa.😅😅

Naamini future wife popote alipo atakuwa na amani, maana wataendana nae vizuri 🙈
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom