Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Natafuta mme wa kunioa, nipo serious

Status
Not open for further replies.
Sasa mtu mpka anakuja humu kutafuta unategemea sura itakuwaje?
1684707725292.png

Kula chuma hicho.
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari

Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Ila hajasema kama ulikuwa umeolewa au la!!! Au hilo tutazungumza kama ulivyosema!!
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari

Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Inshallah utapata hitaji la moyo wako
 
Natafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kunioa
Mimi ni mwanamke age 31
Muislamu
Naishi Dar
Nina mtoto mmoja
Nafanya kazi nimeajiriwa nipo serikalini
Nina mtoto mmoja tu
Natafuta mwanaume atakayekuwa serious tuanzishe familia
Kuolewa mke wa pili nipo tayari

Sifa za mwanaume
Age 33-45
Awe anajishughulisha
Awe serious
Mengine tutazungumza
Safi mammy ngoja nije pm. Sie christian by name not by faith sii tunaruhusiwa kuapply?
 
lamalu mtafute 👇
@leleswng

lamalu Pitia hapa Mke mwenye sifa uzitakazo..kila la kheri 🙏
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom