Fisadi.Jones
Senior Member
- Aug 15, 2008
- 110
- 7
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!
any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
MmmMtu wa kiume angekuja kutafuta mke hapa mneshangaa pia?
Masters [emoji12]wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!
any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
Leta mrejesho basi, hii thread Ina miaka 10 Sasa, km Ulipata mme ukabahatika kupata mtoto bila shaka atakuwa mkubwa anaenda shule Sasa!wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!
any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
Hii kitu INA miaka 10 sasa hahahahaa. Muhenga saivi atakuwa na 38Asante kwa kuliona hilo Mtu wa pwani