It is very very interesting...!
Naamini mtoa mada amefurahi sana kwa jinsi wachangiaji wanavyochangia. Sijawahi kufuatilia hoja tangu mwanzo mpaka mwisho, lakini hii nimeweza.
1. Kwanza mtoa mada kwangu anaonekana mtu smart sana - awe kweli msichana au vinginevyo.
2. interesting zaidi haijawa hoja yenywewe, jambo ambalo pia mtoa mada kwa vyovyote alitarajia. chakufurahisha kimekuwa jinsi watu wanavyojibu. nakubalina na wachache waliotaka kunyoosha pale wengine walipopotosha kwa njia fulani na hata kumkatisha tamaa mtoa mada.
3. Iwe kwa kiingereza au kijerumani na mikiki mingine mingi watu waliyoitokeza inaonyesha wazi kuwa watu wameburudika na hoja lakini niweupe au watupu kichwani sana. wako empty hatari...!
4. wakati huu ambao si rahisi kujua mtoa mada anatafuta nini, na anaposema mume na masters anamaanisha nini, sio sahihi kubp na emotions, maana nina wasiwasi anatafuta kitu kingine kabisa.
5. Pia kama mtu anamtazamo fulani kwa sababu ya mafundisho fulani au background fulani, kwa muda fulani, haitoshi kuwa sahihi kwa kila mtu na kwa wakati wote.
Tuendelee na utamu.