Pole sana dadaake,lakini si mbaya,alishajisemea kayumba yote maisha.Bahati mbaya mie nimeshaoa kwani naona umekwama mtu.lakini si hoja sana kwa sababu mie ni muislam na tunaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja bado kuna nafasi tatu zi tupu.All in all,kama dada yangu na kwa jinsi navyowafahamu wanaume sisi,hii njia uliyotumia kama kweli uko sirias,unahitaji unamakini wa hali ya juu sana vinginevyo ni lazima tujiandae kukubembeleza.Mie nina rafiki yangu anawapona sana watoto wa watu kwa staili kama hii yako,anaandika gazetini anatafuta mchumba,waliokwama kama wewe wanajitokeza na baada ya kuwaamisha kwamba kweli atamuoa kila mmoja kwa wakati wake(kwani ujitokeza wengi wakati mwingine ajali utaka kutokea),basi anaanza kuwapona mmoja mmoja,hivi niko nakuombea Mungu usije kukutana nae utaumia.TAKE CARE MY SISTER.