- Thread starter
- #101
Asante sana Mama kwa maneno yenye busara na hekima nyingi!anayetoa dhihakahata kabla hajakupata hakufai, maana akikupata utajuta kuzaliwa. Mwanaume ni yule mwenye kauli laini, hata kama hamaanishi anayoyasema.
Mungu akubariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana Mama kwa maneno yenye busara na hekima nyingi!anayetoa dhihakahata kabla hajakupata hakufai, maana akikupata utajuta kuzaliwa. Mwanaume ni yule mwenye kauli laini, hata kama hamaanishi anayoyasema.
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!
any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
Basi akufanyie mtimanyongo kukupa ajira tu.....NAMIMI NAJIUNGA...nina elimu nzuri ....ninayo pesa ya kula ,sina ziada...nina kilema cha kupenda ....KIZURI NI KUWA ..SINA UTANI KAZINI......HUWA SIPUMZIKI HADI NIHAKIKISHE UMEINGIA WAVUNI KUOKOTA MPIRA[GOLI]...MARA TATU AU NNE..NATUMIA KILA MBINU KUFUNGA...THAT IS MY PRINCIPAL..NDIO AT LEAST NA MIMI NITARUHUSU GOLI!!....
NAOMBA AJIRA..HIYO..UMRI WANGU NI OVER 40 HILO USIJALI...KWA WANAUME KATIKA UMRI KAMA HUO BADO ANAKUWA NA MIAKA 40 MBELE YA KUENDELA KUOA!!!
Binti wa miaka 28 hujatongozwa mpaka uapply JF, basi wewe utakuwa ni kituko, labda unafanana kama kibwengo
Wakuu nauliza...mantiki ya mwanaume kuchagua na mwanamkkuchukuliwa tu ni nini??
Today, this is not always the case.
Muda unavyokwenda tutazoea hali hii.
.
wewe ndo umeona hivyo sawa!
asante kwa ushauri
Siwezi kuwa mke wa pili kamwe!Nina Miaka 42, nina mke na hana noma nikiongeza mke wa 2, my wife is very understanding and loving, she loves everybody and very polite na tuna watoto 2 and expecting a 3rd one in few month. Ninapostdoc in information management systems na ninaishi ughaibuni. Kama uko tayari kujiunga na family yangu unaweza kuwa my second significant other basi nitumie PM tujuane zaidi na kufanya mipango ya ndoa.
Looking towards your positive response.
Marwa.
Siwezi kuwa mke wa pili kamwe!
Jamani naamini mme wangu atakuwa na sifa hizo!na wewe kama wataka mke una sifa zako unamtaka aweje.Hivyo as far as ure not the one unataka kujua kama nina tumakalio ili iweje?
Atakaetakiwa kujua hivyo ni mme wangu!
unawajua wasukuma?sasa makalio nayo ni ya kuuliza?