Fisadi.Jones
Senior Member
- Aug 15, 2008
- 110
- 7
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!
any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
Wewe unaishi wapi?
Kwani mtaani kwenu hakuna wanume wenye hizo sifa?
Na kama hawapo, wewe unaelimu gani? Maana kama una masters na kwenda juu usingekuwa unakaa huko ...
Njoo mtaani kwetu ...