myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
kweli...Kila la kheri mkuu.
Ila baadae uje na ID yako ya siku zote tuje tubebishane kama kawaida yetu hapa jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli...Kila la kheri mkuu.
Ila baadae uje na ID yako ya siku zote tuje tubebishane kama kawaida yetu hapa jukwaani
haha mkaribishe piemuuu😀😀😀😀
yukwapiHayupo humu
yukwapi
mpe link akuje JFYupo huku napoishi
mpe link akuje JF
huhuhuu sasa ukishamtafuta mimi nampataje??Duh!...masharti yako magumu bibie
Ila huu utamafuni wa kumpenda mtu siku moja una gharama sana live is for everJana kaona wenzie wamepewa maua kachanganyikiwa
Hata masharti ya kz hayako hiviDuh!...masharti yako magumu bibie
Inaonekana ni mwenyeji wa humu ndio maana kaja na ID mpyaJoined 15 feb 2019
kama nakuona ulivyokua unaringa enzi za 18-25
Acha uchoyo ww kijana mwenzio inabidi umsikilize kwnz..ww ulikuwa unataka mzee mzee hivi ndio uone sio mtumiaji?
1. Huku wengi wanatumia utambulisho badia, waweza kukuta kwenye familia moja kila mtu ni mwanachama kwa siri na ID bandia mwisho wa siku mkakuta mnatongozana na baba yako ama kaka zako
2.Wanaume wa kuoa ni wale unaopishana nao kila siku njiani, ni wale unaofanya nao kazi, ni wale unaosali nao, ni wale majirani zako, ni wale uliosoma nao, ni wale wanaokuja ofisini kwako ama unaowakuta ofisini kwao kwenye majukumu ya kikazi
3.Tatizo lenu hamataki kuolewa na wanaume mliowazoea kwa kuwa madhaifu yao mnaijua, kwa kuwa mnadhani hawana hela, kwa kuwa mnadhani hawana hobi za matanuzi
4. Anza sasa kuwaheshimu wanaume na kila mtu kwani yule unayemtarajia awe mchumba wako sio yeye, wachuma wa kweli wanakupeleleza kimya kimya na wakikuona jinsi unavyoishi , unavyoongea na watu, tabia za marafiki zako, unavyopenda maisha ya juu na ya hanasa wananakokimbia kimya kimya.
5. Kama wewe ni mkristu kama ulivyo sema sasa anza ibada ya kila wakati na ikiwezekana jiunge na kwaya na kule uwe na tabia tofauti kabisa maana kuna vikware vimejificha humo unaweza kuharibu faili lako kabisa.
6. Kama huo mtaa ama mkoa ulipo ulishaharibu na tabia zako zinajulikana basi hama kabisa mkoa kaaze upya na ukifika huko badili tabia maana tuna tabia ya kuwahi mwanamke mpya anayekuja bila kujali huko aliko toka alishaharibu.