Natafuta mme

Natafuta mme

Hahaha natamani ningekua hakah mimi...

Humu jf watu wapo desperate sana asee... Lkn wanajifanya wajuaji mno
MwanaJF mkongwe mwenzetu anatafuta mume mazeee!!!


Hatak madudu,sababu ID ya mwanzo, alikutana na Madudu[emoji23]
 
Truthful.
1. Huku wengi wanatumia utambulisho badia, waweza kukuta kwenye familia moja kila mtu ni mwanachama kwa siri na ID bandia mwisho wa siku mkakuta mnatongozana na baba yako ama kaka zako

2.Wanaume wa kuoa ni wale unaopishana nao kila siku njiani, ni wale unaofanya nao kazi, ni wale unaosali nao, ni wale majirani zako, ni wale uliosoma nao, ni wale wanaokuja ofisini kwako ama unaowakuta ofisini kwao kwenye majukumu ya kikazi

3.Tatizo lenu hamataki kuolewa na wanaume mliowazoea kwa kuwa madhaifu yao mnaijua, kwa kuwa mnadhani hawana hela, kwa kuwa mnadhani hawana hobi za matanuzi

4. Anza sasa kuwaheshimu wanaume na kila mtu kwani yule unayemtarajia awe mchumba wako sio yeye, wachuma wa kweli wanakupeleleza kimya kimya na wakikuona jinsi unavyoishi , unavyoongea na watu, tabia za marafiki zako, unavyopenda maisha ya juu na ya hanasa wananakokimbia kimya kimya.

5. Kama wewe ni mkristu kama ulivyo sema sasa anza ibada ya kila wakati na ikiwezekana jiunge na kwaya na kule uwe na tabia tofauti kabisa maana kuna vikware vimejificha humo unaweza kuharibu faili lako kabisa.

6. Kama huo mtaa ama mkoa ulipo ulishaharibu na tabia zako zinajulikana basi hama kabisa mkoa kaaze upya na ukifika huko badili tabia maana tuna tabia ya kuwahi mwanamke mpya anayekuja bila kujali huko aliko toka alishaharibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mkuu unawafanyia usaili?mpaka sasa una top ten wowote?je umeenda hata magroup yako ya watsapp kutangaza nia yako?Kanisani je?maana wa humu wengi hawako serious.Pia nakushauri angalia mtu aliyetangaza kutafuta mke uangali vigezo vyake kama vinaendana na vyako myajenge.Mimi nimeshapata mkuu nina mke sasa hivi!
 
Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Unataka mwenye vigezo gani.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom