Ibrashinto
Senior Member
- Jul 3, 2012
- 123
- 6
Nakuhakikishia hutampata hata mmoja huku. Hapa wanatafuta a MAN. Sasa kama wewe ni MEN, dah! Unazo mbili au?Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single
Weka picha yako waione. Watajuaje kama wewe ni mbaya au mbyutiful?Au me m'baya nin
Hahahah..hili neno!!Weka picha yako waione. Watajuaje kama wewe ni mbaya au mbyutiful?
hahahaha hubby, my ribs! lolest! wanaume wanakuaga wabyutiful eeee??Weka picha yako waione. Watajuaje kama wewe ni mbaya au mbyutiful?
Hahahaha...kama mwanaume anaweza kuwa MEN, atashindwaje kuwa mbyutiful? Afu wifey bana kila napopita unafuata nyayo zangu? Wako wapi Yummy, BADILI TABIA na Kongosho? Waambie wasije hapa wasije wakanaswa na huyu mtongozaji wa dot com.hahahaha hubby, my ribs! lolest! wanaume wanakuaga wabyutiful eeee??
Hahahaha...kama mwanaume anaweza kuwa MEN, atashindwaje kuwa mbyutiful? Afu wifey bana kila napopita unafuata nyayo zangu? Wako wapi Yummy, BADILI TABIA na Kongosho? Waambie wasije hapa wasije wakanaswa na huyu mtongozaji wa dot com.
Afadhali!!mie sijapita hubby
Nakuhakikishia hutampata hata mmoja huku. Hapa wanatafuta a MAN. Sasa kama wewe ni MEN, dah! Unazo mbili au?
Sasa si ungetumia lugha uliyozaliwa nayo? Ona sasa wadada wa huku JF wanaojua kiinglish wamesepa unakosa bahati hivihivi...izo ni errorz za kawaida tu iyo lugha sijazaliwa nayo
Weka picha yako waione. Watajuaje kama wewe ni mbaya au mbyutiful?
Sasa si ungetumia lugha uliyozaliwa nayo? Ona sasa wadada wa huku JF wanaojua kiinglish wamesepa unakosa bahati hivihivi...
Ndo maana yake. Mwenzio niliweka yangu, nikawapata cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho. Nawe jaribu uone mafanikio. Ni rahisi tu, kama hivi.sema handsam cyo mbyutful! Nathani so nkiweka picha ndo watapenda picha? Kam ndo ivo jus wait niweke
Nakuhakikishia hutampata hata mmoja huku. Hapa wanatafuta a MAN. Sasa kama wewe ni MEN, dah! Unazo mbili au?
Ndo maana yake. Mwenzio niliweka yangu, nikawapata cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho. Nawe jaribu uone mafanikio. Ni rahisi tu, kama hivi.
Ndo maana yake. Mwenzio niliweka yangu, nikawapata cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho. Nawe jaribu uone mafanikio. Ni rahisi tu, kama hivi.
Sasa Kaka mbona hata unakotoka dini yako wala number ya cm wadada watavutiwaje na wewe?Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single