Natafuta mpenz jamani

Natafuta mpenz jamani

Ibrashinto

Senior Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
123
Reaction score
6
Mimi ni mwanaume wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single
 
Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single
Nakuhakikishia hutampata hata mmoja huku. Hapa wanatafuta a MAN. Sasa kama wewe ni MEN, dah! Unazo mbili au?
 
hahahaha hubby, my ribs! lolest! wanaume wanakuaga wabyutiful eeee??
Hahahaha...kama mwanaume anaweza kuwa MEN, atashindwaje kuwa mbyutiful? Afu wifey bana kila napopita unafuata nyayo zangu? Wako wapi Yummy, BADILI TABIA na Kongosho? Waambie wasije hapa wasije wakanaswa na huyu mtongozaji wa dot com.
 
Last edited by a moderator:
izo ni errorz za kawaida tu iyo lugha sijazaliwa nayo
Sasa si ungetumia lugha uliyozaliwa nayo? Ona sasa wadada wa huku JF wanaojua kiinglish wamesepa unakosa bahati hivihivi...
 
Sasa si ungetumia lugha uliyozaliwa nayo? Ona sasa wadada wa huku JF wanaojua kiinglish wamesepa unakosa bahati hivihivi...

ninge2mia lugha yangu nicnge jifunza kitu! Napenda kukosolewa ili nijfunze! Kama wapo wapo ata kama co leo ntapata kesho o anothr day
 
sema handsam cyo mbyutful! Nathani so nkiweka picha ndo watapenda picha? Kam ndo ivo jus wait niweke
Ndo maana yake. Mwenzio niliweka yangu, nikawapata cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho. Nawe jaribu uone mafanikio. Ni rahisi tu, kama hivi.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Nakuhakikishia hutampata hata mmoja huku. Hapa wanatafuta a MAN. Sasa kama wewe ni MEN, dah! Unazo mbili au?

hata ungeniakikshia kwa kuapa kujikata na kisu wewe sio Mungu ntapata tu! Labda uwe ndo mgawa wapenz apa jf, 2ambizane maana mie mgeni umu
 
Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single
Sasa Kaka mbona hata unakotoka dini yako wala number ya cm wadada watavutiwaje na wewe?
 
Back
Top Bottom