Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Ningependa kuchukua wasaa huu kuwajulisha wana love connect kwamba ninatafuta rafiki wa kike ambaye baadae tukijaliwa nitapenda awe mke wangu na mimi niwe mume wake. Sifa zangu kwa ufupi ni kama ifuatavyo :-
1.Nina elimu ya shahada ya kwanza.
2. Ni mkristo.
3. Nina kipato cha kuweza kuhudumia familia.
4. Nina umri wa miaka 29.
5. Mweusi
6. Mrefu wa wastani.
7. Slim but healthy.
Vigezo vyangu kwa rafiki/mpenzi ninayemtafuta ni hivi.
1. Awe na hofu ya Mungu.
2. Awe msafi
3. Awe na umri usiozidi miaka 28(birthday certificate muhimu)
4. Awe na moyo wa kujitoa kwa ajili ya wengine.
5.Awe na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi juu ya maisha yake bila kushinikizwa.
6. Awe mchangamfu.
Nb. Sibagui dini, rangi au kabila la mtu.
Kwa wale ladies walio serious mnakaribishwa sana.