Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Ningependa kuchukua wasaa huu kuwajulisha wana love connect kwamba ninatafuta rafiki wa kike ambaye baadae tukijaliwa nitapenda awe mke wangu na mimi niwe mume wake. Sifa zangu kwa ufupi ni kama ifuatavyo :-
1.Nina elimu ya shahada ya kwanza.
2. Ni mkristo.
3. Nina kipato cha kuweza kuhudumia familia.
4. Nina umri wa miaka 29.
5. Mweusi
6. Mrefu wa wastani.
7. Slim but healthy.

Vigezo vyangu kwa rafiki/mpenzi ninayemtafuta ni hivi.
1. Awe na hofu ya Mungu.
2. Awe msafi
3. Awe na umri usiozidi miaka 28(birthday certificate muhimu)
4. Awe na moyo wa kujitoa kwa ajili ya wengine.
5.Awe na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi juu ya maisha yake bila kushinikizwa.
6. Awe mchangamfu.

Nb. Sibagui dini, rangi au kabila la mtu.

Kwa wale ladies walio serious mnakaribishwa sana.
 
Awe na hofu ya Mungu!!

Unaonaje ukianzia huko unakoabudu? Bila shaka wenye hofu ya Mungu, wasafi, wenye moyo wa kujitoa na wachangamfu wanapatikana. Anza kutafuta huko ulipo kabla hujaanza kuswampa kwenye social media. Unaowakimbia huko ndo wamejaa huku.
 
Yaani ndiyo walewale wanao shinda humu na huko mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa kuchukua wasaa huu kuwajulisha wana love connect kwamba ninatafuta rafiki wa kike ambaye baadae tukijaliwa nitapenda awe mke wangu na mimi niwe mume wake. Sifa zangu kwa ufupi ni kama ifuatavyo :-
1.Nina elimu ya shahada ya kwanza.
2. Ni mkristo.
3. Nina kipato cha kuweza kuhudumia familia.
4. Nina umri wa miaka 29.
5. Mweusi
6. Mrefu wa wastani.
7. Slim but healthy.
8. Nina hofu ya Mungu aliyetuumba.

Vigezo vyangu kwa rafiki/mpenzi ninayemtafuta ni hivi.
1. Awe na hofu ya Mungu.
2. Awe msafi
3. Awe na umri usiozidi miaka 28.
4. Awe na moyo wa kujitoa kwa ajili ya wengine.
5.Awe na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi juu ya maisha yake bila kushinikizwa.
6. Awe mchangamfu.

Nb. Sibagui dini, rangi au kabila la mtu.

Kwa wale ladies walio serious mnakaribishwa sana.
Mkuu ushauri wangu kwako usijiite wewe ni mkristo,sema wewe ni mtu mwenye jina la kikristo,usituaibishe .Mkristo anayejitambua anajua anapohitaji mke au mume afanye nini.Wewe utakuwa mkristo jina,usihofu muko wengi wakrito majina.Hukuwahi kusoma biblia yako kwamba "mke mwema anatoka kwa Bwana"?Hapa jf ndiyo kwa Bwana?
Watu wangu wanaangamizwa kwa kusoma maarifa.
When you say you are a christian ,mean it.
 
You nailed it.
 
Je, wewe unaishi maisha ya kikristu ?
What do you think?Nawahubiri wengine waingie mbinguni mimi niende motoni?
katika vitu ambavyo sitafanya nikuambie wewe usiibe kisha mimi niibe,hiyo itanifanya kuwa mtumishi fake na kama ulikuwa hujui adhabu ni kubwa kwa wanaofundisha kwani wanaweza kupotosha wengi na wao wakipotea maana yake wamepotea huku waliijua kweli.
 
Onyesha mfano hai kwa kutumia a verified account.
 
Hahah,utangojea sana.Kila kitu kina faida na hasara yake.Ushauri wangu soma tu post zangu utafahamu what kind of a person I am.Mimi hata nisipotumia verified account najua I am accountable for whatever I do,situmii id kwa maana nifanye mambo mabaya.
Naandika kilicho moyoni mwangu,kwa hiyo hata nikihitajika sehemu nitasimamia nilichokiandika,tofauti na wengine wasio na ufahamu kwamba wanaweza wakapatikana,wanatumia id zao kuandika mambo ya ajabu wakizani hawawezi kupatikana.
Nikitaka kujificha naweza na hakuna awezaye kunipata nikiamua ila sina sababu ya kufanya hivyo wala siwezi kumfundisha mtu akitaka kujificha afanye nini.
Niko hapa kuwashape wana jf ,warudi kwenye mstari.
 
Naelewa mkuu hujafanya lolote baya. Ila sidhani kama ukristu unakubaliana na matumizi ya identiy ya kughushi.
 
Back
Top Bottom