Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Ww ndo uje PM wanaume sikuizi tupo wachache Kama unataka wavulana watajaa huko PM Kama upo serious njoo PM
 
Kantri njoo mshkaji wangu kuna jimbo lipo wazi huku, upunguze stress za kuachwa [mention]Countrywide [/mention]
 
Nina pisi kali mno alafu situmii nguvu, zinakuja zenyewe free. Hivi kwa nini hukuwa pisi kali? Pengine ungepata nafasi ya kuwa na mtu kama mimi
 
Ushawai kuniona?!! Pole sana wewe chukua fursa hiyo tunajua huna demu ndiomana una makasiriko muda wote [emoji13]
 
Back
Top Bottom