Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Hujui usemacho. Kwa masharti hayo yote kwani wewe malkia wa uingereza? Ndiyo maana mnakufa manungaembe
 
Mashavu yamepanuliwa umekunywa P2 na dawa za kutoa mimba... Umri umekutupa mkono... Umetoa mimba za kutosha... Unakumbuka shuka asubuh unataka mume 😅🤣 mamaa amina wewe embu chonga kinyago chako cha mpingo ukifanye mume... Sikuhiz vijana hawaoi mlio karibia menopause...
Vijana KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Ww una kazi kwani?
 
Happy umefunga PM mama wa wanangu. Ukiamka, utanitext mama angu. Pole na shughuli za hapa na pale. You're missed.
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Umenipata kabisa mpenzi.Sifa zote hizo ninazo.
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Hahaaa asiwe na mtoto
 
Back
Top Bottom