Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Utapigwa tukio ulie machozi ya damu
 
Woi woi husband materials nipo na sifa hzo sema na mm nahtaj wew uwe na shuguli ya kukuingizia kipato uwe angalau umedate na mtu mmja tuh yan nusu uwe bikra mweupe mwenye shape sauti nzur mkimya unampenda Mungu uwe na elimu ya shule course yoyote na nidhamu pia uwe mnyenyekevu na macho mazur karbu
Screenshot_20230428-200203.jpg
 
Back
Top Bottom