Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Mpaka utakapompata giza litakuwa limeingia.Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.
Kindly you are welcome.
PM.