Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Ninyi watu wakija inbox, mnauchuna sasa sijui mnashida gani.

Nfio maana wengine huwadhihaki ni baada ya kujua, hamna watafuta wenzi ila ni ubabaishaji tu.

Anyway subr nitakuja inbox, huenda ww ni wa tofauti na wengine.
 
Back
Top Bottom