Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

What do you have to offer in return? Apart from sex (maana mbususu isn't a big deal, naweza ipewa from other women napotaka).

I insist: Nikikuoa, what do you have to offer in return?

Life abides to reciprocality.

-Kaveli-

Bro si atakupa watoto, Unafeli wapi kula chuma hicho [emoji1787]
 
Bro si atakupa watoto, Unafeli wapi kula chuma hicho [emoji1787]

Kwani mimi simpi hao watoto? Furthermore, ninawalea kwaajili yake, nayeye namhudumia na kumtunza.

Btw, watoto ni 'by default product' out of conjugal activities (sex).

My concern remains intact: Yeye ndiye mhitaji, nikimuoa, ana nini cha kuoffer in return? apart from mbunye.

-Kaveli-
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.
Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.
Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.
Mrefu wa kawaida.
Asiwe na mtoto.
Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.

IMG_0962.jpg
 
Tuma picha yako
Tuma sifa zako
Tujue nawe utakidhi vigezo
Maana ni vyema ukajitambisha vyema then raia nao wajue wamekidhi vigezo vyako au la
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.

Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa.

Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.

Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.

Mrefu wa kawaida.

Asiwe na mtoto.

Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
Dear Happiness Mwanaume mwenyewe uliyekuwa unamtafuta ushampata na si mwingine bali ni BabaMorgan husband material. Njoo nikuonyeshe mwanamke anavyotakiwa kupendwa.
 
Mwanaume nnayemuhitaji awe miaka 28 mpaka 35.

Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa.

Awe mkristo, RC itapendeza zaidi.

Mkoa wowote, akiwa dsm itapendeza zaidi.

Mrefu wa kawaida.

Asiwe na mtoto.

Awe serious na si mume wa mtu.

Kindly you are welcome.
PM.
wewe huna mtoto?
 
Unajielezaaa sifa kibaao alaf hujataja sifa yako, we kazi unayo? Urembo unao? Una miaka mingapi? Vigezo ukivitaka na wewe uwe navyo sio utake maisha malain tu
 
Back
Top Bottom