Natafuta mpenzi mtu mzima

Wewe sifa zako ni zipi? Lete vigezo, au kutaka kuwowa tu?
 
Wakipatikana wawili...kuna nafasi nyingine imepatikana kwangu...
Ila AWE NA HELA
 
Jamaa anipende tu na pombe zangu kwa kweli. Yeye akiambiwa anywe pombe ili kunifurahisha atafanya?
Unaambiwa ukipenda boga penda na ua lake
Sema ni OG sana aisee πŸ˜‚ wanywa pombe huwaga mna raha yake ila usiwe mlevi mbwa sasa uguse kidogo uishie home πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio unakunywa mpaka wahuni wanakubeba
 
Sema ni OG sana aisee πŸ˜‚ wanywa pombe huwaga mna raha yake ila usiwe mlevi mbwa sasa uguse kidogo uishie home πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio unakunywa mpaka wahuni wanakubeba
Nakunywa kwa starehe, mtu anayekunywa hadi anabebwa anatakiwa kujitafakari
 
Mbona wewe haujaweka sifa zako Janson? Una umri gani? Ni mrefu au mfupi? Mweusi au mweupe?

Una kazi kweli wewe?

Usijekuwa ni kibenten unatafuta malezi..nduki[emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…