Natafuta mpenzi mtu mzima

Natafuta mpenzi mtu mzima

Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.

Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.

Dini yake yoyote aendelee nayo.

Mi situmii pombe na yeye ajitathimini.
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani na Dar.

Awaze maisha ya upendo wa hishima.
Mapenzi ya kweli ndiyo mpango mzima.

Watoto msubiri, mwenyevigezo tuyajenge kupitia.
jansonjako1@gmail.com

Wewe sifa zako ni zipi? Lete vigezo, au kutaka kuwowa tu?
 
Wakipatikana wawili...kuna nafasi nyingine imepatikana kwangu...
Ila AWE NA HELA
 
Jamaa anipende tu na pombe zangu kwa kweli. Yeye akiambiwa anywe pombe ili kunifurahisha atafanya?
Unaambiwa ukipenda boga penda na ua lake
Sema ni OG sana aisee 😂 wanywa pombe huwaga mna raha yake ila usiwe mlevi mbwa sasa uguse kidogo uishie home 😂😂😂 sio unakunywa mpaka wahuni wanakubeba
 
Sema ni OG sana aisee 😂 wanywa pombe huwaga mna raha yake ila usiwe mlevi mbwa sasa uguse kidogo uishie home 😂😂😂 sio unakunywa mpaka wahuni wanakubeba
Nakunywa kwa starehe, mtu anayekunywa hadi anabebwa anatakiwa kujitafakari
 
Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.

Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.

Dini yake yoyote aendelee nayo.

Mi situmii pombe na yeye ajitathimini.
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani na Dar.

Awaze maisha ya upendo wa hishima.
Mapenzi ya kweli ndiyo mpango mzima.

Watoto msubiri, mwenyevigezo tuyajenge kupitia.
jansonjako1@gmail.com
Mbona wewe haujaweka sifa zako Janson? Una umri gani? Ni mrefu au mfupi? Mweusi au mweupe?

Una kazi kweli wewe?

Usijekuwa ni kibenten unatafuta malezi..nduki[emoji2088][emoji2088]
 
Back
Top Bottom