Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mi5 tena kwa mazaNa hivi zimeshuka bei. Ama kweli Serikali ya mama samia imewaoneni na kuamua kuwatendea wema watu wake[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi5 tena kwa mazaNa hivi zimeshuka bei. Ama kweli Serikali ya mama samia imewaoneni na kuamua kuwatendea wema watu wake[emoji23]
Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.
Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.
Dini yake yoyote aendelee nayo.
Mi situmii pombe na yeye ajitathimini.
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani na Dar.
Awaze maisha ya upendo wa hishima.
Mapenzi ya kweli ndiyo mpango mzima.
Watoto msubiri, mwenyevigezo tuyajenge kupitia.
jansonjako1@gmail.com
Mwenyewe nataka wa kunileaEbu nenda ukachukue fursa ya malezi hiyo, ujilelee kijana kwa mikono yako..😜😜
Sema ni OG sana aisee 😂 wanywa pombe huwaga mna raha yake ila usiwe mlevi mbwa sasa uguse kidogo uishie home 😂😂😂 sio unakunywa mpaka wahuni wanakubebaJamaa anipende tu na pombe zangu kwa kweli. Yeye akiambiwa anywe pombe ili kunifurahisha atafanya?
Unaambiwa ukipenda boga penda na ua lake
Ndugu mshana,naweza kuja maeneo hayo jmosi! NtakuchekiDemi Karibu mnadani Jumamosi hii
Nakunywa kwa starehe, mtu anayekunywa hadi anabebwa anatakiwa kujitafakariSema ni OG sana aisee 😂 wanywa pombe huwaga mna raha yake ila usiwe mlevi mbwa sasa uguse kidogo uishie home 😂😂😂 sio unakunywa mpaka wahuni wanakubeba
Heheheh ila hulewi tikatikaNakunywa kwa starehe, mtu anayekunywa hadi anabebwa anatakiwa kujitafakari
Nachangamka tu kidogo.Heheheh ila hulewi tikatika
Eewaaah hio ndio hasa napenda 😋😋😋Nachangamka tu kidogo.
Hataki bikra bringing Niko poaBest hiki kigezo unacho?
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani na Dar
Tupo Sana tu sema hatuko tayariSidhan kama hao wapo humu
Mbona wewe haujaweka sifa zako Janson? Una umri gani? Ni mrefu au mfupi? Mweusi au mweupe?Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.
Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.
Dini yake yoyote aendelee nayo.
Mi situmii pombe na yeye ajitathimini.
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani na Dar.
Awaze maisha ya upendo wa hishima.
Mapenzi ya kweli ndiyo mpango mzima.
Watoto msubiri, mwenyevigezo tuyajenge kupitia.
jansonjako1@gmail.com
aliyekwambia uje hadi huku nani tena bestIna maana mama Claree pombe huwezi acha uolewe?😂😂😂
Ipi? 🚶🚶🏃🏃🤸🤸🤸🏋️🏋️Bikra hutaki ?
Hahahahahahaliyekwambia uje hadi huku nani tena best