Natafuta mpenzi/mume

Kama wewe ni tapeli kama wanavyodai nakuombea uchezewe mpaka uombe tui ukishtuka 40 hii hapa ili iwe fundisho kwa matapeli kama ww mnakera kinoma
 
mamboooooooo
 
Matapeli wamejaa haka kadada ni katapeli kashawahi undiwa mpaka uzii yaani kanatafuta wa kumpiga etii natafut mume !! Isitoshe huyu dada siyo mara ya kwanza na nitapeli haswa kwa hiyo kuweni makini ndugu zangu .Mtalia muda si mrefu .
 
Sharti lako la mwisho; asiwe na mke!! Unataka uwe peke yako?! Sijui km utampata mwanamme wa hivo. Sanasana atakudanganya tu.
Tunajijua wenyewe
 
Vijana hawataki kusikia mambo ya ooh! badae tuwe mke na mme wao wanapenda tu mgegedo tu, kuwa makini sana ndg
 
Reactions: sab

Hiii
 
Wame Ku pm ata ujajibu acheni izo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…