Natafuta mpenzi wa kuishi nae niko serious

Jamani wachumba mnachezea fursa, fursa haiji Mara mbili walio wengi wanadhani masihara ila atakuja kuitaka nafasi mmoja wao vyumba itakua vimejaa.
 
Sasa wewe ni karot au ni shida na raha? hapa ndio unatuponza tuonekane wanaume ni waongo mkuu

Wapo mkuu ila sijawwza kuwambia kitu maana ndo kwanza nimekuja kikazi.....
Nimekuja hapa kwa urahisi zaidi.

Nifate pm nikutupie picha yangu
 
Sasa wewe ni karot au ni shida na raha? hapa ndio unatuponza tuonekane wanaume ni waongo mkuu
Miiii pia nkawa najiuliza ivyo ivyo
Uyu itakua amejiunga na jina jipya kwa ajili ya shughuli hii
 
Kama nina miaka 30+ kipindi chote cha makuzi kitaa na shule nimekosa mtu,. Nawezaje kupata jf mtu sahihi.
 
Unatafuta mpenz!! Aliye kuambia mpenz anatafutwa ni nani? Mpenz huja mwenyewe so wait for your time zone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…